Our Services
We do turn key, labour-based, and joint venture projects.
Construction
From drawing conceptual design, conducting professional survey, construction of distribution lines, transmission lines, and substations.
Consultancy Services
This is in our future plans.
Maintenance
We do maintenance for Transmission and Distribution infrastructures.
We Are Professional
ETDCO was established by TANESCO in response to the growing need for quality power distribution in the country. Since then, we have grown to be one of the leading companies in construction and maintenance of power distribution and transmission infrastructure.
- We have a team of well experienced professionals in the field of electrical infrastructure construction and maintenance.
- We have a high quality labour force which is being trained regularly with the latest technology.
News / Tips & Events
Maonesho ya Biashara ya Kimataifa 2024
ETDCO yashiriki kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa Dar es salaam (Saba Saba)
Read MoreMaonesho ya Biashara ya Kimataifa 2024
ETDCO yashiriki kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Saba Saba) 2024
Read MoreMaonesho ya Saba Saba 2024
ETDCO yashiriki kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa, Dar es Salaam (Saba Saba)
Read MoreETDCO Yashiriki Maonesho Ya Biashara Ya Kimataifa
Kampuni ya ETDCO yashiriki katika maonesho ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (Saba Saba)
Read MoreZiara Kwenye Mradi wa 132kV Tabora-Urambo
Mkurugenzi Mtendaji (wapili kutoka kuhoto) Akiongea na Uongozi wa ETDCO, TBEA na TANESCO Kanda ya Mgharibi na Mkoa wa Tabora alipotembelea mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kil...
Read MoreMkurugenzi Mtendaji Wa TANESCO Atembelea Ofisi za ETDCO
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (kulia) akiongea na Menejimenti ya ETDCO, alipotembelea ofisi za Kampuni.
Read MoreMkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Atembelea Ofisi za ETDCO
Naibu Mkurugenzi Mtendaji-Usambazaji, Mhandisi Athanas Nangali, akitoa salamu. Aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji.
Read MoreMkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Atembelea Ofisi za ETDCO
Kurugenzi wa Fedha wa TANESCO, CPA. Renata Ndege, Akitoa salamu. Aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji
Read MoreMkurugenzi Mtendaji Atembelea ETDCO
Meneja Mkuu wa ETDCO, CPA. Sadock Mugendi, akitoa maelezo mafupi ya Kampuni mbele ya Mkurugenzi Mtendanji wa TANESCO.
Read MoreUunganishati Umeme Zahanati ya Mgusu
Mafundi wa ETDCO wakiwa katika jitihada za kuunganisha umeme kwenye zahanati ya Mgusu, Geita, chini ya mradiwa wa REA Peri-Urban
Read MoreUunganishaji Umeme Zahanati ya Mgusu
Mhandisi Tabu akipima urefu wa moja ya mashimo ya kusimika nguzo za kupeleka umeme kwenye zahanati ya Mgusu.
Read MoreUunganishaji Umeme Zahanati ya Mgusu
Mafundi wa ETDCO wakiwa katika jitihada za kuunganisha umeme kwenye zahanati ya Mgusu, Geita, chini ya mradiwa wa REA Peri-Urban
Read MoreZawadi Ya Mfanyakazi Bora
Kaimu Meneja Mkuu, CPA. Sadock Mugendi (watatu kutoka kulia), akiwa kwenye picha ya pamoja na mfanyakazi bora wa Kampuni kwa mwaka 2024, Ndugu Pellard Mandura (wanne kutoka kushoto), pamoja na viongoz...
Read MoreZawadi Ya Mfanyakazi Bora
Kaimu Meneja Mkuu wa ETDCO, CPA. Sadock Mugendi (mstari wa mbele, wapili kotoka Kulia) akimkabidi zawadi ya mfanyakazi bora wa ETDCO mwaka 2024, ndugu Pellard Mandura, huku wajumbe wa Menejimenti na b...
Read MoreMaonesho ya Wiki Ya Nishati
Kaimu Meneja Mkuu, CPA. Sadock Mugendi (kushoto) akimkaribisha Meneja Mkuu wa Kampuni ya Kutengeneza Nguzo za Zege, Eng. Yussuph Kitivo (kulia), katika banda la ETDCO kwenye Maonesho ya Wiki Ya Nishat...
Read MoreMaonesho ya Wiki ya Nishati
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika La Umeme (TANESCO), Eng. Gissima Nyamo-Hanga akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko katika banda la ETDCO kwenye Maonesho ya Wik...
Read MoreMakabidhiano ya nguzo za zege
Kaimu Meneja Mkuu wa ETDCO CPA. Sadock Mugendi akikabidhiwa nguzo za zege na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Utengenezaji Nguzo za Zege (TCPM), Eng. Yussuph Kitivo, kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa njia ya u...
Read MoreUzinduzi wa Kuwasha Umeme Ikombe
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mheshimiwa Josephine Manase azindua uwashaji wa umeme katika kijiji cha Ikombe, wilayani Kyela, Mkoani Mbeya. Hii ni baada ya kukamilika kazi ya kuufikisha umeme kijijini hapo...
Read MoreMAFUNZO YA KUTUMIA MTAMBO WA KUCHIMBA MASHIMO
Baadhi ya Mafundi wa ETDCO wakijifunza jinsi ya kutumia mtambo wa kuchimba mashimo na kusimika nguzo (Digger Derrick), kwenye viwanja vya Drive-In mkabala na ofisi za Kampuni.
Read MoreUSIMIKAJI WA NGUZO NDEFU ZA CHUMA GGM
ETDCO yasimika nguzo za chuma zenye urefu wa mita 21, ndani ya eneo la Geita Gold Mine (GGM). Nguzo hizi zinabeba njia pacha za msongo wa kV 33 kwenda kwenye kituo cha umeme cha mgodi.
Read MoreETDCO yashiriki Maonyesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini
Kampuni ya ETDCO imeshiriki kwenye Maonyesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika mjini Geita tarehe 20-30 Seemba, 2023. ETDCO na TANESCo walikuwa kwenye banda moja.
Read MoreETDCO YACHANGIA MIFUKO 100 UJENZI WA ZAHANATI
Kampuni ya ETDCO yachangia mifuko 100 ya saruji kwenye ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Nyamikoma (Maarufu kama PIDA), wilayani Butiama, mkoa wa Mara. Tukio hilo lilifanyika tarehe 14/09/2023 kwenye e...
Read MoreMAFANIKIO YA ETDCO TOKEA KUANZISHWA KWAKE
ETDCO YAJIVUNIA MIAKA 60 YA UHURU KWA KUWA KAMPUNI INAYOINGIZA FAIDA KILA MWAKA, PAMOJA NA KUTEKELEZA MIRADI 74 YENYE
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - MBEYA
UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA MBEYA
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - MBEYA
UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA MBEYA
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - MBEYA
WAFANYAKAZI WA ETDCO WAKIWA KWENYE UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA MBEYA
Read MoreUZINDUZI WA REA KATAVI
UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA KATAVI UMEZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI MHE. Adv. STEPHEN L. BYABATO (MB) TAREHE 13/07/2021
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - KATAVI
UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA KATAVI UMEZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI MHE. Adv. STEPHEN L. BYABATO (MB) TAREHE 13/07/2021
Read MoreUZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) - KATAVI
UZINDUZI WA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI (REA) AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI MKOA WA KATAVI UMEZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI MHE. Adv. STEPHEN L. BYABATO (MB) TAREHE 13/07/2021
Read More