ETDCO

Karibu ujisomee Jarida la Miundombinu Yetu

  • admin
  • January 29, 2026
  • 0

Karibu ujisomee Jarida la Miundombinu Yetu kutoka ETDCO

Jukwaa linalokuletea taarifa, miradi, na mafanikio ya sekta ya miundombinu, likiangazia maendeleo, ubunifu, na mchango wake katika kukuza uchumi na ustawi wa jamii na Tanzania kkwa ujumla.

Bonyeza hii link kusoma 👇🏽

ETDCO_MIUNDOMBINU_YETU