-
By admin
-
October 27, 2025
ETDCO imekamilisha ujenzi wa Mradi wa REA III, Mzunguko wa Pili, Mkoani Mbeya
[embed]https://www.youtube.com/watch?v=0qMXge2OKXU[/embed] ETDCO imekamilisha ujenzi wa Mradi wa REA III, Mzunguko wa Pili, Mkoani Mbeya. Mradi huo umewezesha zaidi ya wateja 7,546 na vijiji 152 kunufaika na huduma ya umeme. Ujenzi huo umehusisha njia ya...
-
By admin
-
October 27, 2025
Utekelezaji wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme Kutoka Tabora – Katavi
[embed]https://www.youtube.com/watch?v=OJbgr0m3-QY[/embed] Mhe. Majid Mwanga amefurahishwa na utekezaji wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi unaotekelezwa na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) ambapo...
-
By admin
-
October 27, 2025
ETDCO Imeendelea na Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme kwa Kutumia Wataalamu Wazawa
[embed]https://www.youtube.com/watch?v=MCZO-9_P7KQ[/embed] Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imeendelea na ujenzi wa miundombinu ya umeme kwa kutumia wataalamu wazawa katika utekeleza mradi wa ujenzi wa njia ya...
-
By admin
-
October 27, 2025
Salamu za Pongezi 👏🏽
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Umeme (𝐄𝐓𝐃𝐂𝐎) tunakupongeza 𝐍𝐝𝐠. 𝐋𝐚𝐳𝐚𝐫𝐨 𝐉𝐚𝐜𝐨𝐛 𝐓𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞 kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
-
By admin
-
October 27, 2025
ETDCO Wakamilisha Mradi wa Kilovolti 132 Tabora- Ipole
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa Mradi wa laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole,...
