ETDCO
taifa

Electrical Transmission and Distribution Construction and  Maintenance Company Limited

Utekelezaji wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme Kutoka Tabora – Katavi

  • admin
  • October 27, 2025
  • 0

Mhe. Majid Mwanga amefurahishwa na utekezaji wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi unaotekelezwa na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) ambapo kupitia mradi huo Wilaya ya Mlele inatarajiwa kuunganishwa na gridi ya Taifa.