ETDCO

Burian Mhe. Cleopa David Msuya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

𝐄𝐓𝐃𝐂𝐎 inatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa na marafiki pamoja na 𝐖𝐚𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 wote kufatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstafu wa Jamhuri ya Muungano wa 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚, 𝐌𝐡𝐞. 𝐂𝐥𝐞𝐨𝐩𝐚 𝐃𝐚𝐯𝐢𝐝 𝐌𝐬𝐮𝐲𝐚
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐢𝐥𝐚𝐳𝐞 𝐫𝐨𝐡𝐨 𝐲𝐚 𝐌𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐥𝐚 𝐩𝐞𝐦𝐚. 𝐀𝐦𝐢𝐧𝐚 🙏🏼

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *