ETDCO

Salamu za Pongezi 👏🏽

  • admin
  • October 27, 2025
  • 0

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Umeme (𝐄𝐓𝐃𝐂𝐎) tunakupongeza 𝐍𝐝𝐠. 𝐋𝐚𝐳𝐚𝐫𝐨 𝐉𝐚𝐜𝐨𝐛 𝐓𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞 kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 𝐌𝐡𝐞. 𝐃𝐤𝐭. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧 kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (𝐓𝐀𝐍𝐄𝐒𝐂𝐎).