ETDCO Imeendelea na Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme kwa Kutumia Wataalamu Wazawa
[embed]https://www.youtube.com/watch?v=MCZO-9_P7KQ[/embed] Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imeendelea na ujenzi wa miundombinu ya umeme kwa kutumia wataalamu wazawa katika utekeleza mradi wa ujenzi wa njia ya...
